Thema: Hes. 38 und 39: Vernichtung der nordischen Heidenmächte zu Gog und Magog! und Mark 2,1-12: Als der HERR den Glauben derer sah die den Kranken in SEIN Haus brachten!
Thema: Amos 8,11: Wisset wohl: es werden Tage kommen - so lautet der Ausspruch des HERRN - da werde ICH einen Hunger ins Land senden... die Worte des HERRN zu hören (die Offenbarungen Gottes zu hören)
Thema: 2 Tim. 3,1-8: Geradeso wie einst Jannes und Jambres gegen Mose aufgetreten sind, so treten auch diese gegen die Wahrheit auf; Menschen mit zerrüttetem Verstand und im Glauben unbewährt!
Thema: Joh. 4,14-15: Das Wasser das Ich ihm geben werde, wird in ihm zu einer Wasserquelle werden, die zum ewigen Leben sprudelt...Herr gib mir dieses Wasser!
Toleo la yubili
Waefeso 3:3, 4: “Ni kwa ufunuo nilipokea ujuzi wa siri ambayo nimetoka kuandika kwa maneno machache. Kwa kuisoma munaweza kutambua akili ambayo nilipata ya ujuzi wa Kristoǃ”.
Waebrania 13:20-21: “Mungu wa salama, ambae alimutowa kati ya wafu ule Muchungaji wa kondoo, kupitia damu ya agano la milele, Bwana wetu Yesu, awafanye wenye uwezo kwa kila tendo njema kwa ajili ya kutimiza mapenzi yake, na atende ndani yenu ambayo imupendezayo, kupitia Yesu Kristo, ambae kwake utukufu milelel na milele! Amen”.
Isaya 55:11: “Ndivyo litakavyokuwa neno langu litokalo katika kinywa changu, halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.”
lsaya 54:14, 15, 17: “Utathibitika katika haki. Utakuwa mbali na kuonewa, kwa maneno hutaogopa, na mbali na hofu, kwa maana haita kukaribia tazama, yamkini watakusanyana, lakini si kwa shauri langu. Watu wo wote watakao kusanyana juu yako wataaguka kwa ajili yako. Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa, na kila ulimi utakao inuka juu yako katika hukumu utauhukumiwa kuwa mkosa. Huu ndiyo urithi wa watumishi wa BWANA na haki yao inayotoka kwangu mimi, Asema BWANA”.
2 Petro 3:9: “BWANA hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvmilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotea, bali wote wafikilie toba.“ Hii ndiyo ahadi: “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo“. (Yohana 14:3)
2. Pet 3:9: „Bwana la kawii kutimiza ahadi yake, kama wengine wanavyondani kukawia, bali ha rumilia kwenu, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikie toba.“