Salamu za kujaa moyo kwa wandugu na wadada wote ulimwenguni pote katika jina tukufu la BWANA na Mwokozi wetu Yesu Kristo na andiko kutoka 1 Yohana 2, shahiri la 27:
“Nanyi mafuta yale muliopata kwake yana kaa ndani yenu, wala hamnahaja ya mtu kuwa fundisha; lakini kama mafuta yae yanavyo wafundisha kweli wala si uongo, na kama yalivyowafundisha, kaeni ndani yake.”
Maneno haya yaweze kupenya kilindini katika kila moyo nakuwa kweli. Chini ya upako wa hapo hapo na uvuviyo wa Roho Mtakatifu, manabii wali weza kueleza mpango waokovu mbele katika neno la Mungu. Hiyo upako moja moja ili kuwa ku mwokozi wetu. Alikuwa Kristo- Mupakaliwa.Katika Luka 4:18-19 Mwokozi wetu alisoma andiko katika Isaya 61, shahiri ya kwanza na kipande cha shahiri ya 2: “Roho wa Bwana yu juuu yangu, kwa maana amenitiya mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwa tangaziya wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwa aacha huru walio teseka, Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubali.“ Nasi kama waamini wa kweli tume pokeya yule Roho moja, hiyo upako moja, mafundisho mamoja, hiyo ufunuo moja wa Yesu Kristo.
Paulo alikuwa na mwito wa hapo hapo, alikuwa chini ya upako na uvuviyo wa Roho wa Mungu, na alikuwa na uhakika kwa utangazaji ambayo ange pashwa sema, “Mtu yeyote anaye hubiri injili nyengine yiko nichini ya laana.” (Gal 1:8) William Branham, mtu wa Mungu kwa wakati wetu, naye alikuwa na mwito wa kiungu wa hapo hapo, alikuwa chini yaupaka na uvuviyo wa Roho Mtakatifu, na alihubiri injili ya milele. Hiyo ni kweli kulingana na mwito wangu. Kama vile BWANA Mungu anatangazaka mwito, yeye kila mara ana kuwaka natumaini ndani ya manabii, mitume, na watumishi wa Mungu ambao amewaweka katika huduma. Neno ambalo BWANA alisema ndani ya Yohana 20:21 lingalii na shikiliya mpka leo: “Basi Yesu akawaambiya tena, Amani iwe kwenu; Kama baba alivyo nituma mimi, miminanyi nawa peleka ninyi.” Kutuma kwa kiungu ina kuwaka ina k tena na yale ambayo BWANA wetu alisema katika Yohana 13:20: “Amin, Amin, nawaambieni, yeye ampokeyaye mtu yeyote nimpelekaye, anipokea mimi, naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenipeleka.”
Katika maandiko iliyo nukuliwa kati kujitambulisha kwetu, mtume Yohana aliandika kwamba upako una endeleya kuduma ndani ya mtoto wa Mungu wa kweli. Alio onyesha vema kwamba hakuna uongo unayo tokandani ya kweli (shahiri ya 21). Nahata tangu shahiri la 20 tunasoma: “Nanyi mmepakwa mafuta nayeye aliye mutakatifu nanyi mnajua yote.” Maneno yake katika shahiri la 28 yalikuwa na onyeshwa kwetu kwa hiyi wakati: ”Na sasa, watoto wadogo, kaeni ndani yake, ili kusudi, atakapofunuliwa, muwe na ujasiri wala musiaibike mbele zake katika kuja kwake.” (1 Yohane 2:28).
Sisi sote twangojea ufunuo wa Yesu Kristo na tuna taka kuwa tayari wakati wa kurudi kwake. Kwetu sisi neno la musingi ni: “Watoto wa dogo, kaeni ndani yake,” Niya muhimu sana. Katika Yohana 15:5: Mkombozi wetu alisema, “…Akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya nen lolote.”