BARUWA YA WAZI

Linajumuisha na Imeadikwa na Pastor Ewald Frank,
na sabazwa kwa Kijurumani, Kigeleza, Kifaransa na Kirusiya

 

Kwa

Laisi wa Umoja wa Marekani,
Bwana George Bush

Laisi wa Umoja wa Jamhuri ya kisovieti ya kijamaa,
Bwana Mikhail Gorbachev,

Laisi na Kansela wa shirikisho la Ujerumani,
Bwana Richard Von Weizsacker na Bwana Helmut Kohl

Wakuu wote wa Nchi Dunia yote kupitia
mwakilishi wao wa kidiplomasia

 

Somo: WATU NA ARDHI YA ISRAELI

Kwani wakati wa sasa somo hili imekuwa kitu chamuhimu kushida mbele, na kwasababu jibu ya makazo inapashwa shikwa kwa hiyo, niyamuhimu kwa sasa hii ya muhimu kwa habari ya dunia kuweka maagizo za Mwenyezi isiyowezwa kutengwa kwa mupago. Wayahudi, Wakristo, na Waisilamu wote wa naami muuba bingu na nchi, mwenye aliomba watu wote, na wana wa Mungu wote wa na tumaini kwake kuwa pa uzima wamilele. Kuhusu watuwa israeli, mambo yote yiko wazi ndani ya neno lake na maamuzi isiyoweza kubadilishwa nikusema yamwisho, amayo iliashimiwa na muhamdi(salama iwe na ye) pia.

Wa falme, wakubwa na wengine watawala wa ulimwengu na mitumikiyo inabadilika na kuodoka, bali Mufalme wawa falme na BWANA wa mabwana, Helmsman wa kweli wa historia ya Dunia, anabaki kutoka umilele dadi umilele. Ndina ya Biblia alijitangaza yeye mwenyewe Mara maelfu Kama Mungu wa Israeli. Yeye njoalichaguwa WATU wake kakiwa tosha katika watu wengine na kuweka mipaka ya Nchi ya Israeli. Yeyeyote anaye amini katika Yeye kikwelikweli anafugwa kwa kuti hayo.

Kama vile iliamuliwa Naye, kwa kabila kumi na bili za israeli, kabila bili na nusu walituzwa upande wa mashariki ya mto Yordani, kabila tisa na nusu kwa upande wa magharibi. Swali Leo si nafasi ya ardhi yasasa abayo inapashwa patiliwa was Israeli, Bali kwa upande mwengine, ni nafsi yapangani ambayo waarabu wanaikala dani ambayo ni yawa israeli kwa ukweli. Si waisreali ambao wana ikala kwa nafsi yakigeni, lakini tukifata ma nukuu ambazo tutafata hapo chini, kutakutana utofauti. Chapo ya inchi la zamani hutoa ushahidi ya kukubasha kwa eneo halisi la kijiografia na kozi halisi ya mipaka.

Tutaacha Mungu yeye mwenyewe ajisemee kuhusu somo hii kutoka kakitika mashariki matakatifu, Na kuleta musa abaye anajulikana kama nabii kwa Wayahudi, Sakristei na waisilamu; tena na kuleta wengine wa nabii na muhamedi(salama kwa ke) kutoka kwa korowani.

Kwanza, Nukuu tofauti kutoka kwa Biblia:

“Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.

Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.

Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu“. Mwanzo 17:18-20

“Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Waagize wana wa Israeli, uwaambie, Mtakapoingia nchi ya Kanaani, (hii ndiyo nchi itakayowaangukia kuwa urithi, maana, hiyo nchi ya Kanaani kama mipaka yake ilivyo“. Hesabu 34:1-2

“BWANA Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mlivyokaa katika mlima huu vyatosha; geukeni mshike safari yenu mwende nchi ya milima ya Waamori, na mahali pote palipo karibu ya hapo, katika hiyo Araba, na nchi ya vilima-vilima, na huko Shefela, na Negebu, na pwani-pwani, nchi ya Wakanaani, na Lebanoni, mpaka mto huo mkubwa, mto wa Frati.

Angalieni, nimewawekea nchi mbele yenu, ingieni mkaimiliki nchi BWANA aliyowaapia baba zenu, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kwamba atawapa na uzao wao baada yao”. Kumbukumbu la Torati 1:6-8

“Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; tokea hilo jangwa, na Lebanoni, na tokea mto wa Frati, mpaka bahari ya magharibi, itakuwa ndiyo mipaka yenu”. Kumbukumbu la Torati 11:24

“… ng'ambo ya pili ya Yordani, upande wa maawio ya jua, kutoka bonde la Amoni mpaka mlima wa Hermoni, na nchi yote ya Araba upande wa mashariki;

…Musa mtumishi wa naye Musa mtumishi wa Bwana akawapa Wareubeni, na Wagadi, na nusu ya kabila ya Manase iwe urithi wao”. Yoshua 12:1b+6b

“Basi sasa gawanya nchi hii, iwe urithi wa hizi kabila kenda, na nusu ya kabila ya Manase. Pamoja na yeye, Wareubeni na Wagadi walipata urithi wao, waliopewa na Musa, huko ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki, vile vile kama huyo Musa mtumishi wa Bwana alivyowapa.“ Yoshua 13:7-8

“Kwa maana Walawi hawana fungu kati yenu; Kwa kuwa huo ukuhani wa Bwana ndio urithi wao; tena Gadi, na Reubeni, na hiyo nusu ya kabila ya Manase, wamekwisha pata urithi wao ng'ambo ya pili ya Yordani upande wa mashariki, ambao walipewa na Musa, mtumishi wa Bwana.“ Yoshua 18:7

“Bali BWANA amewatwaa ninyi, na kuwatoa katika tanuu ya chuma, katika Misri, mpate kuwa watu wa urithi kwake, kama mlivyo leo hivi.

Na BWANA atawatawanya kati ya mataifa, nanyi mtasalia watu kidogo hesabu yenu kati ya makabila, mtakakopelekwa mbali na BWANA.

Lakini huko, kama mkimtafuta BWANA, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote.

Maana uliza sasa siku zilizopita, zilizokuwa kabla yako, tangu siku ile Mungu aliyoumba mwanadamu juu ya nchi, na toka pembe hii ya mbingu hata pembe hii, kwamba kumetukia neno lo lote kama neno hili kubwa, au kwamba kumesikiwa habari ya neno kama hili?

Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye.

Kutoka mbinguni amekusikizisha sauti yake, ili akufundishe; na juu ya nchi alikuonyesha moto wake mkuu; ukasikia maneno yake toka kati ya moto.

Kwa hiyo ujue, leo hivi, ukaweke moyoni mwako, ya kuwa Bwana ndiye Mungu katika mbingu juu, na katika nchi chini; hapana mwingine.” Kumbukumbu la Torati 4:20, 27, 29, 32, 35-36, 39

“Maana BWANA atamhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye atawaweka katika nchi yao wenyewe; na mgeni atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.

Na hao mataifa watawatwaa na kuwaleta mpaka mahali pao wenyewe, na nyumba ya Israeli watawamiliki, na kuwafanya watumishi na wajakazi katika nchi ya BWANA.” Isaya 14:1-2a

”Katika siku hiyo Israeli atakuwa wa tatu pamoja na Misri na Ashuru, watakuwa baraka kati ya dunia;

kwa kuwa BWANA wa majeshi amewabariki, akisema, Wabarikiwe watu wangu Misri; na wewe Ashuru, kazi ya mikono yangu; na wewe Israeli, urithi wangu.” Isaya 19:24-25

“Lakini sikia sasa, Ee Yakobo, mtumishi wangu; na Israeli, niliyekuchagua;

BWANA, aliyekufanya, na kukuumba toka tumboni, yeye atakayekusaidia, asema hivi; Usiogope, Ee Yakobo, mtumishi wangu; na wewe, Yeshuruni, niliyekuchagua.” Isaya 44:1-2

“Kwa maana, tazama, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapowarejeza watu wangu wa Israeli na Yuda waliofungwa, asema BWANA; nami nitawarudisha hata nchi niliyowapa baba zao, nao wataimiliki.” Yeremia 30:3

“Lisikieni neno la BWANA, enyi mataifa, litangazeni visiwani mbali; mkaseme, Aliyemtawanya Israeli atamkusanya, na kumlinda, kama mchungaji alindavyo kundi lake.

Kwa maana BWANA amemweka huru Yakobo, amemkomboa mkononi mwake aliyekuwa hodari kuliko yeye.

Nao watakuja, na kuimba katika mlima Sayuni, wataukimbilia wema wa BWANA” . Yeremia 31:10-12a

“Ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitawatwaa wana wa Israeli toka kati ya mataifa walikokwenda, nami nitawakusanya pande zote, na kuwaleta katika nchi yao wenyewe”. Ezekieli 37:21

“Na BWANA atairithi Yuda, iwe sehemu yake katika nchi takatifu, naye atachagua Yerusalemu tena.” Zekaria 2:12

“BWANA wa majeshi asema hivi, Tazama, nitawaokoa watu wangu toka nchi ya mashariki, na toka nchi ya magharibi;

Nami nitawaleta, nao watakaa katikati ya Yerusalemu; nao watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao, katika kweli na katika haki.” Zekaria 8:7-8

“Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.

Katika siku hiyo BWANA atawalinda wenyeji wa Yerusalemu; na yeye aliye dhaifu miongoni mwao atakuwa kama Daudi siku hiyo; nayo nyumba ya Daudi itakuwa kama Mungu, kama malaika wa BWANA mbele yao.” Zekaria 12:3+8

“Na hii ndiyo tauni, ambayo BWANA atawapiga watu wote waliofanya vita juu ya Yerusalemu; nyama ya mwili wao itaharibika, wasimamapo juu ya miguu yao, na macho yao yataharibika ndani ya vichwa vyao, na ndimi zao zitaharibika vinywani mwao.

Hata itakuwa, ya kwamba kila mtu aliyesalia wa mataifa yote, waliokuja kupigana na Yerusalemu, atakwea mwaka baada ya mwaka ili kumwabudu Mfalme, BWANA wa majeshi, na kuishika sikukuu ya Vibanda.” Zekaria 14:12+16

Yakufata, ni Nukuu kutoka kwa Korani:

“Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili. (Tukawambia): Msiwe na mtegemewa ila Mimi.” Surah XVII, 2

“Tena tulimpa Musa Kitabu kwa kumtimizia (neema) aliye fanya wema, na kuwa ni maelezo ya kila kitu, na uwongofu na rehema, ili wapate kuamini mkutano wao na Mola wao Mlezi.

Na hichi ni Kitabu tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa. Basi kifuateni, na mchenimngu, ili mrehemewe.” surah VI, 154+155

“Na tukamtunukia (Ibrahim) Is-haq na Yaakub. Kila mmoja wao tulimwongoa. Na Nuhu tulimwongoa kabla. Na katika kizazi chake tulimwongoa Daud na Suleiman na Ayyub na Yusuf na Musa na Harun. Na hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao wema.” Surah VI, 84

“Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.” Surah V, 20+21

Hii Nukuu ya mwisho kutoka kwa Nabii Mohammad (Salama iwekwake) niya kipekee na iwezi kuonywa Kama unabii. Kwa sababu inapenya kwenye moyo kwa hii somo pamoja na wa Israeli. Selekali 48 za kiisilamu ku duniani sana sana wana onywa waamini na wafate nabii wao nakusomo hili pia, wasipige alakini wakuwekwaupade yayale aliyo yasema. Alisema yakwamba watu wale wata ingiya katika inchi natakatifu, kama vile Mungu aliamuwa!

Hakuna mtu abaye anahaki ya kupigana na uwauzi wa Mungu kuhusu inchi hilo, sababu uamuzi wa Mungu igili na simama haiko tu kwa siku zilizopita, bali na leo na hata milele. maoni ya wa philozophia, yakwamba israel yaleo haiko jo israeli yazamani, inasimamiya kukujisikia kuto fungwa na uamzi wa Mungu na kujindaganya.

Katika hii hati tunaita sana sana mainchi zilizo kando ya Israeli, na Laisi Assad wa Syria na muflame Hussein of Jordan, wasiedelea ku simamiya zile shida yakujiundiya za palestine, lakini wawe kwa maeneo zao.

Hakuna Mtu wasiasa, ao Mtu wakidini ambaye iko na haki ya kujifanya musimamizi na kujaribu kushurutisha kama anaamuwa kinyume ya Mwenyezi Mungu. Na hakuna atakayeweza hio.

Ilitokea kwa vita ya II yadunia, ya kwamba mamillioni ya watu wa Ujerumani na watu wengine walitoshwa kutoka udongo wa baba zao. Hakuna aliye fangwa kwa kampu hizo miaka mingi, Lakini walipelekwa kwa udongo mpya. Na mpaka sasa ile kikundi cha inchi kinacho julikana kilifaindika na kulikumbaliwa tena, baada ya kukuwa ya kutoa kwa udongo yao kwa sababu tofauti. Kwa sababu gani ambayo inaacha watu wa palistini kufungwa wakambi kwamzo? Hiyo inafanyika kusundi dunia yote irundilie kuchukia wa Israeli tena?

Umoja wamataifa (UN) hapa inaalikwa ku heshimu utaratibu ambao uliwekwa na Mungu kuhusu hii eneo, na kuhusika ya kwamba shinda ya wapalestina inapata suluhisho kupitia mipaka ya Uwongozi mkuu (mwenyezi Mungu).

Nyuma ya hii ufafanuzi katika baruwa hiyo, hakuna katika wale ambao wanahusika ambaye atapata sababu lolote. Hakuna mtu wa serikali ao kiongozi wa kidini kwa dunia nzima ambaye kataa ya mwenyezi Mungu bila kupata matokeo.

Engine mabishano kuhusu somo hilo ni ya mzuri sana. Tunastahili mbaki na tumaini, kwa yale Mungu alisema katika neno lake atafanyika.

“Basi yule malaika aliyesema nami akaniambia, Haya, piga kelele na kusema, BWANA wa majeshi asema hivi, Naona wivu kwa ajili ya Yerusalemu, na kwa ajili ya Sayuni; naona wivu mkuu sana.

Nami ninawakasirikia sana mataifa wanaokaa hali ya raha; kwa maana mimi sikukasirika ila kidogo tu, na wao waliyahimiza mateso.

Kwa sababu hiyo BWANA asema hivi, Ninaurudia Yerusalemu kwa rehema nyingi; nyumba yangu itajengwa ndani yake, asema Bwana wa majeshi, na kamba itanyoshwa juu ya Yerusalemu.

Piga kelele tena, na kusema, BWANA wa majeshi asema hivi, Miji yangu kwa kufanikiwa itaenezwa huko na huko tena; naye BWANA ataufariji Sayuni tena, atauchagua Yerusalemu tena”. Zekaria 1:14-17

Hitimisho

Kama makundi zote: Wayahudi, Kikristo na kiislamu wanapaswa tenda kulingana na imani yao, mwisho ya hii mabishano itaisha na kuamua kupanua dongo ya wa israeli, kwa sababu wayahudi wengi wa tarundi kwa inchi ya urithi wao na kugoya kukuja kwa Messiah kulio karibu.

Baraka za Mungu zibaki kwa wale wote wanao muamini na kuheshimu uwazi wake aliyo tangaza. Yeyote anaye Bariki Isreali Mungu atamubariki. Kurundi kwa Israeli katika inch yaahadi ya wababa zao haisimamie kwa siasa, ao uwazi wa Zionist, lakini . M ni Uwazi wa Mungu. Acha makundi za makabira zote katika inchi takatifu waishi pamoja katika salama kuutukufu wa Mungu.

Hivi asema BWANA: ”Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki.

Nitakukusanya toka magharibi; Nitaiambia kaskazi, Toa; nayo kusi, Usizuie; waleteni wana wangu kutoka mbali, na binti zangu kutoka miisho ya dunia.

Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya.” Isaya 43:5-7

“Utakieni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao.

Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.

Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.” Zaburi 122:6-8

 

Shalom – Salaam

 

Bro E. Frank

 

 

 

 

 

© Na mwandishi na mchapishaji E.Frank

Ikiwa unapendezwa kupokea vitabu vyetu,
waweza kutuandikia kupitia anwani ifwatayo:

Kituo cha Misheni
Sanduku la Posta 100707, 47707 Krefeld, Ujerumani

Waweza kuingia kwenye mtandao wakati wa mikutano yetu ya wikendi ya kwanza ya mwezi. Siku ya Jumamosi Jioni pa saa 19:30 h (Saa ya kati ya Ulaya), Jumapili asubuhi pa saa 10:00 h. Mikutano ya weza kusikilikana katika Lugha 13 tofauti duniani pote.

Pokeeni sehemu kwa yale ambayo Mungu anayo yafanya sasa kulingana na mpango wake wa okovu!

 

Ukurasa wa vuti: http://www.freie-volksmission.de

Fax: +49-2151/951293

or

Ukurasa wa vuti:
www.misia.sk  - www.eternal-gospel.tv

Phone/Tell: +256 786 892 319, +256 784 103 735