Ujumbe wa saa inayotumwa kupitia Tume ya Mungu
Nina salimu wa amini wote, wandugu wote na wadada Duniani pote na andiko kutoka katika 2 Petro 3:9: “BWANA hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvmilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotea, bali wote wafikilie toba.“
Hii ndiyo ahadi: “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo“. (Yohana 14:3)
Tuna shukuru kilindini Mungu kwa na neno la thamani na takatifu, kwa ajili ya Agano la Kale na Jipya, Ijili, baruwa za mitume na kitabu cha Ufunuo. Kila somo la kibiblia imekwesha fundishwa na uwazi kabisa.
Kitu cha muhimukwa waamini wote wa Biblia ilikuwa na ni somo kuhusu kuja kwa pili kwa Kristo. Kwa sasa, hii in na abatana hapo hapo na ujumbe wamwisho iliyo tumwa kwa kuita kutoka, kutegana, na kutayarisha kanisa la Yesu Kristo kwa siku ya utukufu ya kurundi kwa BWANA wetu.
Katika 2 Petro 3:14: “Kwa hiyo, wapenzi, kwa kuwa mnatazamia mambo hayo, fanyeni bidii ili mwonekane katika amani kuwa hamna mawaa wala aibu mbele yake.“
Wamitume wa liogozwa kupa waamini maagizo maalum kuhusu somo ya kurundi kwa BWANA wetu. Yohana aliadika ndani ya 1. Yohana 2:28: “Na sasa, watoto wadogo, kaeni ndani yake, ili kusudi, atakapofunuliwa, mwe na ujasiri, wala msiaibike mbele zake katika kuja kwake.“ Ni ya kushagaza kuona muzingo ambayo Roho wa Mungu aliweka kwa mioyo ya mitume kuhusu umuhimu wa matayarisho kwa ile siku ya utukufu, na nanamna gani walisukumwa kwaku iandika. Hiyo inatumika sana sana kwatu, kwa kuwa tuna juwa sawasawa yakwamba tumefikia lengo kwa wakati unayo fa mbele ya kurundi kwa Yesu Kristo, kusudi tu ishi matayarisho yatu kwa ukweli.
Maneno yale ambao mtume Paulo aliandika wa mutumishi mwezake Timotheo zinaelekezwa kwangu sana leo, lakini na kwa wandugu wote abao ndani ya uaminifu wana hubiri neno lililofunuliwa na kupana chakula chakiroho: “Kwamba uilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hata kufunuliwa kwake BWANA wetu Yesu Kristo…“ (1. Timotheo 6:16) Kwa sasa, mbele ya kurundi ya BWANA, utagazaji unapaswa kuwa wa kibiblia kabisa. Inahusika na kuhubiri Neno la Mungu takatifu bila lawama.
Mutume aliandika kwa shahili la 15 kuhusu kurundi kwa BWANA: “Ampoko yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye kwa aliyehimidiwa, mwenye uweza peke yake, MFALME wa waflame…“
Mungu ameamua kila kitu mapema: Mpango mzima wa okovu, Mambo ambayo igefanyika kwa wakati wa kuja kwa kwanza kwa Kristo, na tena mambo ambayo inafanyika kwa sasa mbele ya kuja kwa pili kwa Kristo. Mtume ageandika: “Ampoko yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye kwa aliyehimidiwa…“
Hiyo ndiye sababu inatumika pia kwa wakati wetu yakwamba Ujumbe utatagulia kuja kwa pili kwa Kristo.
Katika 2. Timotheo 2:15 tuna soma: “Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa hahali neno la kweli.“
Mungu aliwaziya kila kitu kwa kweli. Na tunashukuru; ndiyo, Nina shukuru kwa miaka mingi abayo niliwezeshwa kutaganza Neno la Mungu, bila kujalibu kitu chochote kama matafusiri, kwa kweli, Nilihubiri Neno la Mungu Takatifu.
Ninashukuru sana kwa sababu BWANA aliniamuru kwa mwaka 1980: “Mtumishi wangu, amka na kusoma 2. Timotheo 4“. Ni amka, na kushika Biblia yangu na kusoma: “Nakuagiza mbele za Mungu, na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu walio hai na waliokufa; kwa kufunuliwa kwake na kwa ufalme wake; Lihubiri Neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima, ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimun makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti; nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo. Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza hudma yako“
Hiyo sura zima inamaana maalum kwangu, tangu siku hiyo. Tuna ona ni maalifa gani iliyo andikwa ndani ya shahili la kwanza. Wakati huo, alifa ya mtume Paulo ilikuwa ikielekea mtumishi mwezake Timotheo. Ndani ya mwaka 1980 BWANA alinipa maandiko hayo. Kisha tunasoma kile Paulo alisema kuhusu hudma yake, na leo hiyo inatumika pia, kasababu ni Ujumbe wa mwisho ambao inatagazwa kupitia utume wa Mungu.
Lakina BWANA alisimama pamoja nami akanitia nguvu, ili kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, hata wasikie mataifa yote; nami nikaokolewa katika kinywa cha simba“. (2. Timotheo 4:17)
Tunayo kitu maalum hapa. Paulo aliamini yakwamba mahubir yake ilifunuwa kila kitu ambacho Mungu alikusudia ndani ya mpango wa okovu wake, na kwa hiyo BWANA alimupa nguvu. Haikukuwa kiburi; haikukuwa maoni ya kibinafsi. Ilikuwa utume wa Mungu. Na nguvu zilizo mupewa hazikukuwa za mwana damu, bali ilikuwa kazi ya Roho Mtakatifu.
Paulo alipata kuandika kwa kipeke kuhusu kurundi kwa Yesu Kristo, ndani ya 1 Wakorinto 15, 1 Wathesalonike 4 na katika maandiko mengine kadhaa. Na tunaweza kusoma ndani Tito 1:3: “…akalifunua neon lake kwa majira yake katika ule ujumbe niliowekewa amana mimi kwa amri yamwokozi wetu Mungu“.
Tumekwisha soma yakwamba kurundi kwa BWANA kutafanyika muwakati uliotaalishiwa, na hapa kwamba alidhihirisha neno lake kwa wakati uliowekwa. Yote hufanyika katika wakati wetu: Utagazaji wa ujumbe ya neno lililofunuliwa na kurundi kwa BWANA.
Sifa na utukufu kwa BWANA wetu! Aliye tufunulia Neno lake ambao ilitayarishiwa kwa kipindi hiki cha wakati kwa Nabii wake William Branham; vivyo hivyo, Paulo aliweza kushuhundiya kwa wakati wake kuhusu kutumwa abayo alikuwa amepatiliwa.
Kulikuwepo mwito ya kiungu kwa Agano la kale na Mpya, na yote, ikiwa ni Noa, Moise, Elia, Yohana mubatijazi, ao Paulo, haijalishi ni nani, wote walikuwa na kutumwa kwa kiungu na itimiza.
Agano Jipya ilianzana na Yohana mubatizaji akionekana kwa wakati ulio wekwa, nikusema ni kipande cha wakati unabii wa Biblia ulikuwa ukitimilika kwa kuja kwa kwanza kwa Kristo. Yohana mubatijazi alikuwa na utume wa kiungu. Alikuwa mtu alietumwa kutoka kwa Mungu akiwa na mwito wa kiungu na kutayarisha jiya ya BWANA kama vile ilivyo tangazwa katika Isaya 40:3 na Malaki 3:1 katika Agano la kale. Ageweza kurejelea Neno na kuitegemea kuwa ushuhuda wake.
Katika injili ya Yohana, katika sura ya kwanza, aliulizwa:
“Wewe u nani? Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, mimi siye Kristo. Wakamwuliza, ni nini basi? U Eliya wewe?” (19-22) Na hapo alipana jibu lake kwa shahili ya 23. Hapo alirejelea neno hilo la Isaya 40:3: “Sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya BWANA; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.“
Kupitia hudma yake watu waliwekwa tayari, wametayarishwa kwa BWANA: “Na wengi katika Waisraeli atawarejeza kwa BWANA Mungu wao. Naye atatangulia mbele zake katika roho ya Eliya, na nguvu zake, ili kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto, na kuwatilia waasi akili za wenye haki, na kumwekea Bwana tayari watu waliotengenezwa.“ (Luka 1:16-17)