'
Sura iliyotangulia

Baruwa ya mzunguko - Aprili/Mei 2019

„Yesu Kristo ni Yeye yule Jana Leo na hata milele“ (Ebr 13:8)

Baruwa ya mzunguko Aprili/Mei 2019

Salamu za kujaa moyo kwa nyinyote duniani pote katika jina la thamani la Bwana wetu Yesu Kristo na maandiko kutoka 2. Pet 3:9:

Bwana la kawii kutimiza ahadi yake, kama wengine wanavyondani kukawia, bali ha rumilia kwenu, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikie toba.“

Kurudi kwa Kristo kulio ahidiwa (Yn 14:3) ilikuwa jambo kuu katika nyakati za kimitume na leo inaendelea vivyo hivyo kwa waamini wote wa kibiblia. Wakati bwana alitabiri kuhusu,uharibifu wa hekalu katika Matayo 24:1-3 wa wanafunzi walimuuliza maswali matatu:

1) „Mambo hayo yatakuwa lini?
2) Nayo nini dalili
yakuuja kwako?
3) Nayamwisho wadunia?“

Katika 1. Kor 15, mtume ali andika kuhusu mambo mawili ufufuko wa kwanza na ufufuko wapili na akatafusiri:

“Kwakuwa kama katika Adamu wote wanakufa kadhalika nakatika Kristo wote wata huishwa. Lakini kila mmoja mahari pake, limbuko nikristo, badaye walio waka Kristo, atakapo kuja. Hapo ndipo mwisho…” (1Kor 15:22-24). Maandiko matakatifu yanaeleza kuhusu kukuja kwake kwa aina nyingi lakini „kurundi maramoja“ kwa Kristo (Yn. 14:1-3).

Matendo tatu inakazilia kincho itajika kwa kila mtu binafsi mbele ya kurudi kwa yesu kristo kuliyo haidiwa: „Tubuni basi, na mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati zakuburudishwa kutoka kwa Bwana: apate kumutuma Kristo-Yesu, mliye hubiriwa tangu zamani…“ (Matendo 3:19-21) Ujao wa msamaha wadhambi na ujao wakuhesabiwa haki kupitiya imani katika ukombozi ulio timizwa inapashwa kuwa mazoezi ya kila mtu binafsi kusudi Bwana apate kutuma wakati wa kuburudishwa. Uamsho wa kiroho na kuburudishwa kutoka kwa Bwana Mungu, aliewapa watu wake huko mwanzoni, kupitiya umwangaji wa roho mtakatifu nasi pia tume ahidiwa hao, mbele ya kurudi kwa Bwana wetu.

„Ambaye ilimupasa kupokelewa mbinguni mpaka vitu vyote vitakamirishwa, vilivyo nenwa na mungu kupitiya kinywa cha manabii wake watakatifu kutokea mwanzo wa ulimwengu“. (Matendo 3:21) Kurudi kwa yesu Kristo, kwa weza fanyika ikiwa ujumbe ulie tangazwa hapo mwanzoni, unatangazwa sasa kwa mwisho. Si kuhusu kuburudishwa tu, na uamsho kupitia roho wamungu, ila nikuhusu kurudishiwa kwa vitu vyote kwa ujao kitika kanisa, kama vile ilivyo kuwa mwanzoni kwa kanisa la zamani, kuhusu mafundisho pia na maisha.

Sura inayofuata